Mabadiliko ya tabianchi yana madhara ya mali na uhai wa Binadamu – YUNA
Mwenyekiti wa Asasi ya vijana ya Umoja wa Mataifa (YUNA), Dr. Lwidiko Edward, akizungumza na vijana kutoka Asasi mbalimbali hapa nchini juu ya ushiriki wa vijana katika mkutano uliopita wa COP 19...
View ArticlePadre wa kanisa aburuzwa mahakamani kwa kushidwa kutunza mtoto
Na Nathaniel Limu PADRE wa Kanisa Katoliki Singida mjini Deogratus Makuri amefikishwa mbele ya mahakama ya mwanzo Utemini mjini hapa akituhumiwa kushindwa kutunza mtoto wake wa kike. Ilidaiwa...
View ArticleICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta
Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta. Kesi inayomkabili Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta huenda ikachelewa kuanza baada ya mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa jinai (ICC) Kukiri...
View ArticleRais Kikwete amekubali kutengua nyadhifa za mawaziri wanne kufuatia ripoti ya...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amethibitisha hayo jioni hii Bungeni mjini Dodoma. Mawaziri hao waliotenguliwa nyadhifa zao ni: Mhe. David Mathayo David wa Mifugo na...
View ArticleNew UBA chairman appointment highlights dynamic growth in African markets
United Bank for Africa (UBA), the pan-African financial services group in which investment company Heirs Holdings (http://www.heirsholdings.com/) has a strategic interest, has announced the...
View ArticleAowa Wanafunzi Mtu na Dada yake
Mkuu wa Dawati la Jinsia Nkasi, CPL-Anna Kisimba (kushoto) akipitia kitabu cha orodha ya matukio ya dawati hilo. Kulia ni msaidizi wake. Ofisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri wa Wilaya ya Nkasi, Oscar...
View ArticleTazama Simba wakiwa juu ya Mti katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Morogoro
Imezoeleka kuona Simba pekee ambao wanaweza kupanda juu ya Miti ni kutoka hifadhi ya Taifa ya Manyara. lakini hata hivyo kulikuwa hapajajulikana si hifadhi ipi nyengine ambayo Wanyama hao waliweza...
View ArticleMargareth Simalenga atunukiwa Shahada yake Chuo Kikuu cha Mzumbe
Margareth Simalenga, akipozi kwa picha mara baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika Uongozi wa biashara (usimamizi wa mashirika) yaani Master in Business Administration (Corporate Management)...
View ArticleUzinduzi wa Ripoti ya Uwezo
Msanii Mrisho Mpoto akielezea kupitia mashairi Mama Zaida Mgalla akitoa ufafanuzi kwa ripota wa Uwezo TV Bi. Melania Mhagama Mgeni Rasmi akionyesha ripoti baada ya kuzindua. Wakati ambapo asilimia...
View ArticleNape aridhika na Mawaziri kuwajibishwa
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye. *Asema sasa ni fundisho kwa watakaolala *ziara za Kinana zimesaidia sana kutatua kero *Bado moto wa ziara hizo haujapamba *2015 CCM kurejesha viti...
View ArticleHiki ndicho alichokisema Mh. Zitto Kabwe kwa Wananchi wake kwenye mkutano wa...
Mh. Zitto Kabwe baada ya kutua Uwanja wa Ndege mjini Kigoma akilakiwa na baadhi ya viongozi wa Chadema mjini Kigoma. Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi...
View ArticleFrance implants its first artificial heart
It is a world’s first: an artificial heart designed to stay in the body for five years. Similar devices have been used for decades as a short-term measure, but recipients will be able to keep this one...
View ArticleWakazi 6 wa Mkoa wa Iringa watimka na Bodaboda za Vodacom Iringa
Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Salome Kalinga(wanne toka kushoto)mkazi wa Iringa,akipokea funguo wa pikipiki yake aliyojishindia katika...
View ArticleBenki ya KCB Tanzania yamwaga misaada jijini leo
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania Moezz Mir(wapili toka kulia)akimkabidhi msaada wa Mashine ya kupasha moto vifaa vya hospitali kabla ya matumizi na baada ya matumizi kwa...
View ArticleMh. Lowassa ashiriki Tamasha la waendesha Bodaboda Jijini Dar Leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam...
View ArticleMwalimu shule msingi amtia mimba mwanafunzi wake
Ofisa Elimu Msingi, Wilaya ya Nkasi, Bw. Misana Kwangura akizungumza na Thehabari.com. Na Thehabari.com, Namanyere-Nkasi MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Sintali (jina tunalo) anatuhumiwa kwa kuwatia...
View ArticleWananchi waombwa kuheshimu mipaka ya viwanja vya ndege
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jongo jipya la Abiria pamoja na njia za kurukia na kutulia pamoja na maegesho...
View ArticleAirtel , Baraza la Usalama Barabarani kuhamasisha Usalama barabarani msimu wa...
Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi...
View ArticlePambika na Samsung yatangaza mshindi wa Mitsubishi Double Cabin
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Tanzaia Bw. Sylvester Manyara akiongea na mshindi wa gari baada ya kuchezesha droo ya Mwisho ya Pambika na Samsung iliyofanyika katika eneo la biashara la Mlimani...
View Article