Kesi ya mauaji ya Albino Aaron Nongo yaanza kusikilizwa tena
Na Daniel Mbega, Mwanza KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano....
View ArticleRais Kikwete: Wekeni waambata kulinda maslahi ya wanafunzi wa Tanzania nje
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhakikisha kuwa Balozi mbali mbali za Tanzania nje ya nchi...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu John...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo...
View ArticleShigongo azindua vitabu vyake vitatu vipya katika ofisi za Global
Mkurugenzi wa Global Publishers LTD, Shigongo Eric James (kulia), akishikilia vitabu vyake baada ya kumpatia jukumu la uzinduzi huo Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Kampuni hiyo, Oscar Ndauka....
View ArticleTanzania Media in the Frontline: Journalists Target Political Hate in...
Journalists and African media leaders from the region are meeting this week to highlight the role of media and journalism in combating hate-speech and intolerance in the upcoming election campaign....
View ArticleWazuia Rushwa Afrika wakutana Arusha
Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika Umoja wa Afrika kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini...
View ArticlePinda afungua maonyesho ya elimu Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista Flosy Sequeire, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya kutambua ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule hiyo wakati...
View ArticleTume kuongeza majimbo
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano na Viongozi wa vyama vya siasa ambapo alizungumzia zoezi la kugawa Majimbo ya Uchaguzi. Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Julius...
View ArticleTEITI yawanoa waandishi wa habari za biashara juu ya uwazi katika sekta ya...
Mwenyekiti wa Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi katika Mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI), Jaji Mstaafu, Mark Bomani akifungua warsha...
View ArticleLumia Winners set for spectacular Cape Town Experience
(L-R)Uganda’s Onekalit Uhuru, Microsoft Mobile Device EA, General Manager Mariam Abdullahi, Tanzania’s Richard Mtango and Kenya’s Philip Mwaura. WINNERS (L-R) Uganda’s Onekalit Uhuru, Tanzania’s...
View ArticlePinda akutana na wawekezaji toka Poland
Waziri mkuu, Miengo Pinda akizungumza na wawekezaji na watalaamu wa kujenga vihenge vya kisasa na vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka hasa mahindi ambao wanatarajia kujenga vihenge hivyo...
View ArticleTigo yazindua usajiri wa kuzaliwa kupitia simu za mkononi kwa kanda ya Ziwa
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu(kushoto)akionyesha moja kati ya simu 350 zilizotolewa na Kampuni ya Tigo kwa ajili ya mkakati wa usajili wa watoto waliozaliwa wenye umri chini ya miaka...
View ArticleOfisi ya taifa ya takwimu yasambaza matokeo ya Sensa wa watu na makazi ya...
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akielezea umuhimu wa kufanya Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka...
View ArticleWakazi wilaya ya Kakonko watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF-Kigoma
Katibu tawala wilaya ya Kakonko Bi.Zainab Mbunda akifungua Mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Afya ya Jamii CHF uliofanyika katika Ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma ambapo...
View ArticleWaandishi wa Habari watakiwa kuepuka lugha za chuki
Meza kuu. (Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja blog). Mshehereshaji wa Semina Bi. Rose Mwalongo akiwakaribisha washiriki wote waliofika kwenye semina ya siku mbili iliyoandaliwa na shirika lisilo...
View ArticleTeknolojia katika sekta ya rangi
Kufuatia kukua kwa teknolojia ya kompyuta kwa sasa sekta tofauti tofauti zimeweza kuchukua fursa hiyo na kuitumia ipasavyo katika maeneo ya msingi; sekta ya upakaji rangi pengine ni moja kati ya...
View ArticleBreaking News!: Jeshi lachukua Nchi Burundi, Rais Nkurunzinza akiwa Tanzania
Pierre Nkurunziza -Pichani Na MASHIRIKA YA HABARI Ripoti kutoka Bujumbura, nchini Burundi zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi....
View ArticleKamanda wa Vijana Makangira Msasani awatembelea waliokumbwa na mafuriko Bonde...
Kamanda wa Vijana Tawi la Makangira-Msasani, jijini Dar es Salaam, Yusuph Nassoro (kushoto) akiwa na mkazi wa eneo hilo wakati alipotembelea kwenye mfereji mkubwa uliojengwa kwa ajili ya kupitisha...
View ArticleJeshi la Polisi Usalama Barabarani watoa taarifa ya kusitisha suala la kusoma...
Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, DCP Mohammed R. Mpinga – DCP (kulia) akitoa maelezo ya kiutalaamu juu ya suala la kusoma kwa madereva ambalo kwa sasa suala hilo...
View Article