Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda akutana na wawekezaji toka Poland

Image may be NSFW.
Clik here to view.
PG4A2534

Waziri mkuu, Miengo Pinda akizungumza na wawekezaji na watalaamu wa kujenga vihenge vya kisasa na vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka hasa mahindi  ambao wanatarajia kujenga vihenge hivyo hapa nchini. Watalaamu na wakezaji hao kutoka Poland ambao wakulikutana na Waziri Mkuu mjini Dodoma Mei 12, kutoka kushoto ni Honorta Maslowsk,  Witold Karczewski ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara waPolland na Aleksandar Zingman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles