Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nation to observe mourning day over Safoora Chowrangi massacre

Prime Minister Nawaz Sharif. KARACHI (Dunya News) – Prime Minister Nawaz Sharif has announced to observe day of mourning today  over Safoora Chowrangi massacre in Karachi that left 44 of minority...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HESLB katika Wiki ya Elimu Dodoma

WOTE TUNATAKA KUSOMA HADI CHUO KIKUU! Ndivyo wanavyosema wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru mjini Dodoma baada ya kuulizwa nani kati yao angependa kusoma hadi chuo kikuu na Ofisa Habari, Elimu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zanzibar International Film Festival & ZATI: Supporting Zanzibar Tourism

The Zanzibar International Film Festival (ZIFF) is a major tourist attraction, bringing thousands of guests to Zanzibar for the annual event.  Working with local hotels, tour operators and suppliers,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mradi wa Maboresho Matumizi ya Fedha za Umma Wafanikiwa

Msemaji wa Wizara ya Fedha, Bi. Ingiahedi Mduma (wa kwanza kulia) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari wanaoshiriki semina juu ya taarifa ya Mradi wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Tigo Tanzania yatangaza mwendelezo wa usimamizi

Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza kwamba Bw. Diego Gutierrez (pichani) amerejea kama Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania baada ya kumalizika kwa mkataba wa aliyekuwa akikaimu cheo cha Umeneja Mkuu Bi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapato ya ndani yaimarishwe kufanikisha Malengo ya Millenia

Mkurugenzi wa kupunguza  umaskini kutoka Wizara ya Fedha, Anna Mwasha (kulia) akifungua kongamano,  linalojadili yaliyojiri katika Malengo ya Millenia na nini kinastahili kufanywa katika SDG’s ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASATA kumweka ‘kitimoto’ Msanii Shilole kufuatia kukiuka maadili kwenye...

                           Msanii Shilole (kushoto) na kulia ni Katibu Mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza TAARIFA YA BASATA JUU YA KULAANI TABIA CHAFU NA ISIYO NA MAADILI ILIYOONESHWA NA MSANII SHILOLE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hifadhi ya mlima Kilimanjaro yatangaza ofa ya kupanda mlima huo kwa watalii...

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira. Afisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Finland nchini Tanzania, Antila Sinikka azindua kituo cha msaada...

Watoa ushauri wa shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO)wakiimba wakati wa ufunguzi wa kituo hicho. Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanahabari na wamiliki wa vyombo vya habari wa EAC wakutana Dar kujadili...

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua kongamano la kujadili mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokarasia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu TAMISEMI, SAGINI asisitiza uimarishaji wa Elimu

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na. Serikali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete awapongeza Madaktari bingwa wa Moyo kwa upasuaji

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kupiga picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafuta ya kupikia ya MO SAFI kwa mahitaji bora ya vyakula kwenye familia yako!!

Burger bomba  kama hii ya kuvutia iliyotengenezwa kwa mafuta bora ya Mo Safi,  zenye ufahari kutoka MeTL Group. Je? umeshatumia bidhaa bora kutoka MO!! pata sasa zipo karibu nawe  NA ANDREW CHALE,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Pierre Nkurunziza returns to Burundi after ‘failed’ coup attempt

BUJUMBURA Burundian leader Pierre Nkurunziza has returned to the country, his office said Thursday, as a deputy coup leader said the attempt to overthrow the president had failed after fierce battles...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Why do we sleep?

                 New research is giving scientists an insight into why we sleep and what happens when we do it   By Pallab GhoshScience correspondent, BBC News. Science & Environment Sleep is a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamko la Mhe. Nyalandu kuhusu shutuma za Mbunge Mhe. Nassari

Waziri wa Mali asili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu. “Nimesikitishwa sana na kauli ya Mhe. Joshua Nassari ambayo ameongea kwa kudhalilisha  utendaji wangu  serikalini.  Naomba  Mh. Nassari  afahamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Usiku wa marafiki wa Lowasa’: Shetta, Dully Sykes hapatoshi Triple A usiku...

Wasanii nyota wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal ‘Shetta na Abdulwaheed Sykes ‘Dully Sykes’, jioni ya leo wanatarajia kupiga shoo kubwa katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Welcome to the 15th Annual Dar es Salaam Charity Goat Races,Saturday 30 May 2015

Just one goat can make a difference! Through your support, the Dar es Salaam Charity Goat Races has raised over 1 billion shillings for Tanzanian charities and local organizations. In our biggest year...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya...

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live