Tigo, Airtel na Vodacom zashirikiana na AU ‘kutokomeza Ebola barani Afrika’
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni maalum ya kampuni za simu tatu nchini zilizoungana kuchangisha fedha...
View ArticleWaziri Mwakyembe awapongeza FastJet kwa huduma nzuri kwa wateja
Wafanyakazi wa kampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa Uchukuzi Mh.Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani. Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe...
View ArticleKamati ya Bloggers Tanzania yaanza kujadili Rasimu
Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa mitandao...
View ArticleUsalama ni muhimu zaidi kwa Fastjet!
Ndege ya Fastjet FJA FN141 inayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Mwanza, ikiwa imebeba abiria 142 iliruka kutoka airport ya kimataifa ya Julius Nyerere mida ya takribani saa 12:49 asubuhi siku ya...
View ArticleKuelekea maandalizi ya sikukuu ya X-Mass PSPF yawakumbuka watoto yatima wa...
Kushoto ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akiwa na Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani wakiwakabidhi zawadi ya Mbuzi kwa ajilli ya Krismasi watoto wa kituo cha kulelea yatima cha...
View ArticleMaonyesho ya kimataifa ya elimu kuanza Disemba 17-21, 2014 jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link, Abdulimalik Mollel, akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Kampuni ya Global Education Link (GEL) kwa...
View ArticleWashindi wa maonesho ya cake wapatikana Dar
Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya ‘Azam World of Cakes Exhibition’ wakipita kuangalia keki. Majaji wa Maonesho ya ‘Azam World of Cakes Exhibition’ watipita kukagua, kupata maelezo ya...
View ArticleTamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne lafana TCC Chang’ombe
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile mara baada ya kuwasili viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam ambapo...
View ArticleWAMA kwa kushirikiana na ENGENDERHEALTH kwa ufadhili wa watu wa Marekani...
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kwa kushirikiana na Engenderhealth kwa ufadhili wa watu wa Marekani itazindua kampeni ya kuzuia mimba za utotoni katika Shule za Sekondari ijulikanayo kama...
View ArticleRais Kikwete afanya kisomo kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kupona
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya Mashekhe na wageni waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama...
View ArticleSerikali yahimiza vijana kujitolea
Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo aliyemwakilisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...
View ArticleBroadcast Warehouse ya Uingereza kusaidia COMNETA
Mwenyekiti wa mtandao wa vyombo vya habari vya kijamii Tanzania (COMNETA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa redio FADECO ya wilayani Karagwe, Bw. Joseph Sekiku, akimtambulisha mgeni kutoka nchini Uingereza...
View ArticleKamanda wa Ujerumani ajivunia usalama bahari ya Hindi
Balozi wa Ujerumani nchini Mh. Egon Kochanke (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakiwamo viongozi mbalimbali wa Serikali na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania kwenye hafla maalum ya...
View ArticleTICTS Family Day yanoga jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini – Tanzania International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace (kulia) akimkabidhi zawadi kwa timu kapteni wa timu ya Operations...
View ArticleTigo Welcome Pack yamalizika kwa kishindo mjini Mtwara
Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile mwenye kofia akikagua basi la kampuni ya Tigo linalotumika kutoa huduma zake kwa wananchi walio vijijini kwenye kampeni ya welcome pack, kushoto kwake ni Meneja...
View ArticleSera madhubuti ya gesi kuinyayua Tanzania
Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa (kushoto) akielekea kukwea pipa kuelekea nchini Ghana kwenye ziara ya mafunzo ya wiki mbili. Na Marco Mipawa, Accra- Ghana Tanzania inaweza kuwa nchi...
View ArticleTigo ilivyowafikia wateja wake katika Nyama Choma Festival
Mfanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Prisila Elifas (kushoto) akiwahudumia wateja waliojitokeza kwenye banda lao kujipatia huduma za kampuni hiyo wakati wa Tamasha la Nyama Choma...
View ArticleHappy 53rd Independence Day to all Tanzanians
Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na bango la ‘Uhuru Kamili’ Tisa Desemba, 1961. May His Soul Rest In Peace, without him we wouldn’t have been here!
View ArticleUjasiri ulivyotengeneza maisha ya ushindi kwa mama wa nyumbani
Meneja Mauzo wa Serengeti Breweries Ltd Mkoa wa Morogoro Bw.Moses Bartazary (mwenye kofia) akikabidhi Funguo ya Bajaj Limo yenye uwezo wa kubeba abiria saba kwa mshindi wa kwanza wa shindano la...
View Article