Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Tigo Welcome Pack yamalizika kwa kishindo mjini Mtwara

$
0
0

_81A0207

Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile mwenye kofia akikagua basi la kampuni ya Tigo linalotumika kutoa huduma zake kwa wananchi walio vijijini kwenye kampeni ya welcome pack, kushoto kwake ni Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Daniel Mainoya.wengine ni baadhi ya wateja wa kampuni hiyo waliyoenda kufahamu zaidi huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye tamasha lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara.

_81A0234

Wasanii wa kundi la Origino Komedi wakionesha shoo wakati wa tamasha la Tigo welcome Pack lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki.

_81A0304

_81A0526

Msanii Ibrahim Musa a.k.a Roma Mkatoliki akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo welcome pack lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki.

_81A1091

Msanii Joseph Haule a.k.a Prof J akitoa shoo pamoja na kundi la Origino Komedi wakifanya yao kwenye tamasha la Tigo welcome pack, uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki.

_81A1090


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles