Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Tigo ilivyowafikia wateja wake katika Nyama Choma Festival

$
0
0

 

Mbili

Mfanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Prisila Elifas (kushoto) akiwahudumia wateja waliojitokeza kwenye banda lao kujipatia huduma za kampuni hiyo wakati wa Tamasha la Nyama Choma lililofanyika  katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

Tatu

Mfanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Rayu Othman (kushoto) akimhudumia mteja aliejitokeza kwenye banda lao kujipatia huduma za kampuni hiyo wakati wa Tamasha la Nyama Choma lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

tano

Wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Tigo wakiwa na wateja katika banda lao wakati wa Tamasha la Nyama Choma lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu Dar es Salaam.

nne

Sehemu ya banda la Tigo kama linavyoonekana kwa mbele katika Tamashala la Nyama Choma lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu Dar es salaam.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles