Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Waziri Mwakyembe awapongeza FastJet kwa huduma nzuri kwa wateja

$
0
0

Mbili (1)

Wafanyakazi wa kampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa Uchukuzi Mh.Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani.

Moja 1

Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya ndege  ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri pembeni yake ni Mwenyekiti wa  Bunge ya Miundombinu,  Peter Serukamba.

nne

Waziri wa Uchukuzi HarrisonMwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya ndege  ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri.

tano

Meneja Biashara wa FastJet, Jean Uku akitoa maelekezo kwa Waziri wa Uchukuzi HarrisonMwakyembe kuhusiana na utendaji kazi wa kampuni hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani pembeni ya Mwakyembe ni Mwenyekiti wa  Bunge ya Miundombinu,  Peter Serukamba.

Tatu

Ofisa  wa Mahusiano na Masoko wa kampuni ya ndege ya FastJet Lucy Mbogoro akitoa maelezo kwa ujumbe kwa Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe na ujumbe wake wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani  kushoto kwake ni Mwenyekiti wa  Bunge ya Miundombinu,  Peter Serukamba.

Sita

Wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya Fast Jet wakiwa kwenye picha ya pamoja.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles