PSPF yatoa msaada wa Kompyuta 12 kwa vyuo viwili Bagamoyo
Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani (kushoto) akimkabidhi msaada wa Kompyuta Mkuu wa Chuo Kikuu teule cha Marian Father Luke Mbefo ambapo Kompyuta hizo zitatumika katika kuhifadhi nyaraka...
View ArticleMapendekezo yawasilishwa kwa uongozi wa Benki ya Dunia
Ujumbe kutoka Tanzania ukimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile alipokuwa akiwasilisha mapendekezo yake kwa Bw. Denny H. Kalyalya...
View ArticleWananchi kunufaika na viwanja 444 vya NSSF
Frank Mvungi-Maelezo Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) laanza kuuza viwanja takribani 444 vyenye jumla ya mita za mraba 465,161 katika eneo la Kiluvya A Halmashauri ya Kisarawe Mkoa wa...
View ArticleZana za uvuvi haramu za mamilioni zateketezwa Sengerema
Katibu Tawala Wilaya Sengerema Bw. Focus Majumbi, (katikati) akishudia nyavu haramu kabla ya kuchomwa. Wa kwanza kushoto ni Afisa elimu msngi Wilaya Sengema Juma Mwajombe na Kulia ni Afisa uvuvi...
View ArticlePinda azindua wodi ya wanawake wajawazito jimboni kwa Sitta
Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta akizungumza katika sherehe za kuzindua wodi ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katika hospitali ya...
View ArticleKinana ahitimisha ziara kwa kishindo Iringa
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia huku mkono wake ukiwa umefungwa POP, katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa jana kuhitimisha ziara ya siku...
View ArticleTanzania among the leading countries with teacher recruitment needs
Press release Teachers needed by 2030.pdf by moblog
View ArticleMkalama washukuru serikali kwa kasi ya kuwaletea umeme
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Edward Ole Lenga.(Picha na Nathaniel Limu). Na Nathaniel Limu, Mkalama SERIKALI wilaya mpya ya Mkalama mkoani Singida, imeishukuru serikali kuu kwa hatua...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda akutana na Balozi wa Poland
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Poland nchini, Mhe. Marek Ziolkowskoi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Oktoba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
View ArticleTIGO yazindua mnara wa kasi yenye 3G Namanga, Wilayani Longido
Mkuu wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa James Ole Millya (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya kasi ya 3G katika mnara wa Tigo mpakani Namanga, mkoani Arusha. Kulia...
View ArticleWizara ya Fedha, IMF na WB wazungumzia sera fedha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ambaye ni kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na...
View ArticleRais Kikwete azindua kijiji cha mfano cha vijana Sikonge mkoani Tabora
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa kijiji cha mfano cha vijana Pathfinders Green City katika kata ya Igigwa wilayani Sikonge jana.Rais...
View ArticleWafanyakazi wa TIGO washiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisalimiana na Meneja wa huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) kabla ya kuanza kwa matembezi ya kuchangia fedha kwa...
View ArticleNSSF yanogesha mbio za Rock City 2014
Afisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Jumanne Mbepo (kulia) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 15 ili kudhamini mbio za Rock City Marathon 2014 Mratibu wa mbio hizo Bw....
View ArticleTexas nurse treated for Ebola: ‘I’m doing well’
This Texas Christian University yearbook photo shows Nina Pham, 26, who became the first person to contract the disease within the United States. Records show that Pham and other health care workers...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal awaongoza wananchi wa Sengerema kumzika Dkt. Shija
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa...
View ArticleVIDEO: Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Magavilla
HAVE A REFLECTIVE NYERERE DAY! Twitter @cmagavilla
View ArticleTaarifa ya msiba
Menejimenti ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Bw. Amin Elias Mbaga aliyekuwa Meneja Uhusino kilichotokea tarehe 13.10.2014 katika Hospitali ya...
View ArticleMamlaka ya usafiri wa anga yadhamini kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha(kushoto) akiongea wakati wa uzinduzi wa kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa...
View ArticleAction Aid laendesha Bonaza la kuelimisha nguvu ya kodi kwa vijana
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha...
View Article