Juma Ngasongwa apata ajali Kibaha
Mh. Juma Ngasongwa amenusurika kifo katika ajali iliyo tokea jana jioni Kibaha Picha ya ndege Mkoani Pwani. Pichani anaonekana Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Dr. Loti Kiwelu akimjulia hali...
View ArticlePato la Taifa laendelea kukua
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)leo jijini Dar es salaam kushoto ni Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Rished Bade....
View ArticleKampuni ya Rex Energy yatambulisha Teknolojia mpya ya kuhifadhi na kusambaza...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kusambaza vifaa vya umeme wa jua (Solar) ya Rex Energy Bw.Francis Kibhisa akizungumza na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),kuhusiana na uzinduzi na...
View ArticleLG yazindua TV aina ya OLED nchini Tanzania
Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) wakizindua TV ya kwanza ulimwenguni aina ya OLED...
View ArticleAirtel yajipanga kwa droo kubwa ya milioni 50/- ya ‘Mimi ni Bingwa’
Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akisisitiza jambo wakati akichezesha droo ya kumi ya promosheni ya Mimi ni Bingwa liyofanyika jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es...
View ArticleKuelekea kilele cha Miaka 37:CCM yajivunia mafanikio yake
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mkutano wa CCM Mkoa wa Mbeya. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati...
View ArticleAmerican Lady To Rural Indian Housewife
From cocktail parties to cow-pat cakes: The Californian party girl, 41, who became a traditional Indian housewife after meeting farmer husband, 25, on Facebook Adriana Peral, 41, met Mukesh Kumar, 25,...
View ArticleChina is now Tanzania’s major investor
Mzwandile Jacks, VENTURES AFRICA – China’s total direct investment in Tanzania soared from $700 million in 2011 to $2.1 billion last year, turning the world’s second biggest economy into the biggest...
View ArticleCCM bado hakijapoteza dira ya kutetea wanyonge nchini
Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Mwangi Rajabu Kundya akimnadi mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mahmoud Thabit Kombo katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki zilizofanyika Mbweni...
View ArticleRais Jakaya Kikwete awaapisha Waziri na Manaibu Waziri Ikulu Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri na Manaibu Waziri waliokuwa wakiapisha Ikulu Dar es Salaam, leo Jan 30, 2014 wakati alipokuwa...
View ArticleUNIC yaendelea kutoa mafunzo ya mateso ya kambi za wayahudi
Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi ya Diamond juu ya umuhimu wa kujifunza mauaji ya kimbari ya wayahudi ya...
View ArticleStatement On Claims By The News Of Rwanda
The Embassy of Tanzania in Rwanda is deeply saddened by malicious and untrue reports, published over the weekend by the Rwanda Government Owned Newspaper, The News of Rwanda, in which it accuses the...
View ArticleMsaada wako unahitajika kuokoa maisha ya mtoto Maryam
Kuna mdada wa miaka 18 Ambae amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya Kua kwamba sehemu hiyo imefunga. Kwa ujuzi wa...
View ArticleWaziri Mkuu wa Finland atembelea Bandari ya Dar Es Salaam leo
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kushoto), akimtabulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka(aliyevaa tai nyekundu) kwa Waziri Mkuu wa Finland, Jyki Katainen, wakati...
View ArticleKamati ya Katiba, Sheria na Utawala watembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dk. Philip Mpango akizungumza wakati wa Ziara hiyo. Wajumbe wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala walipotembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Mawaziri wa Katiba na Sheria, Sayansi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake kwa Makamu Ikulu Dar es...
View ArticleRais Kikwete kulihutubia Taifa Jumapili hii
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete(pichani), leo, Ijumaa, Januari 31, 2013, hatahutubia wananchi kupitia utaratibu wa Hotuba ya Mwisho wa Mwezi. Badala yake,...
View ArticleVideo: Mwanamke amchana kwa Viwembe mfanyakazi wake wa Kike wa Ndani!
Dunia hii inaelekea wapi? Huku tukiendelea kupiga vita dhidi ya ukatili kwa wanawake, kuna wanawake wengine ndio wanaoongoza ukatili huo. Shuhudia stori hii ya huyu mwanamke katili aliyemchana chana...
View ArticleKinana, Mangula wawasili Mbeya kwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM,Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Waziri Mkuu wa Finland Baada ya kumaliza...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
View Article