Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dk. Philip Mpango akizungumza wakati wa Ziara hiyo.
Wajumbe wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala walipotembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kukagua utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu.
Manaibu Katibu Watendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa makini michango iliyokuwa ikitolewa na wajumbe wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala.
Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, Mhe. William Mganga Ngeleja akizungumza na watendaji na menejimenti ya Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakati Kamati yake walipotembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kukagua utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu.(Picha na Thomas Nyindo, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango)