GLAUCOMA “mwizi wa macho wa kimyakimya”
Mwezi Januari kila mwaka jumuiya za kimataifa uungana ili kuongeza uelewa na kujenga ufahamu juu ya ugonjwa wa Glaucoma. Kampeni hii ya mwezi mzima inalenga kuleta tahadhari na kuelimisha juu ya...
View ArticleWaomba kituo maalumu cha watoto walemavu Buhangija kusaidiwa zahanati
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose...
View ArticleMwanahabari Humphrey Kisika atangaza kumvaa Kayombo mbunge wa Mbinga...
Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Humphrey Kisika (32). Na Fredy Mgunda Katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika octoba mwaka huu Afisa Habari na Mahusiano wilaya ya Iringa...
View Article6 People You Need in Your Life
Nothing incredible is accomplished alone. You need others to help you, and you need to help others. With the right team, you can form a web of connections to make the seemingly impossible practically...
View ArticleMfumuko wa bei wa taifa waendelea kupungua
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Desemba, 2014 jana jijini Dar es...
View ArticleMAELEZO badilisheni mfumo wa utoaji PRESS CARD
WASOMAJI na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na karibuni tena katika porojo...
View ArticleTaarifa kwa umma kupitia vyombo habari kuhusu vikao vya kamati za Bunge...
Mwito kwa kamati 2015.docx by moblog
View ArticleRidhiwani kikwete aahidi kutatua tatizo la umeme, maji Kiwangwa,Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa ujenzi kutoka Kambi ya Mzinga ya JWTZ, Aloyce Mayunga (kushoto) alipokwenda kukagua ujenzi wa maabara...
View ArticleMbunge wa jimbo la Morogogo mjini Mh Abood amwaga misaada kata ya Bigwa Morogoro
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akijibu Hoja mbalimbali kuhusu kero zinazowakabili wakazi wa kata ya bigwa katika ziara yake ya kutembelea kata mbalimbali za jimbo la Morogoro...
View ArticleMawasiliano na Anuani za Mawakala na Wasambazaji wa MeTL Group
Tangazo la MAWAKALA.docx by moblog
View ArticleUN yataka kipaumbele kumsaka binti mwenye albinism aliyetekwa
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akimtambulisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa...
View ArticleWaziri wa Viwanda atembelea machimbo ya Chuma Liganga na Makaa ya Mawe Mchuchuma
Waziri wa Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema...
View ArticleCCM yalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa CHADEMA na CUF kwa...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Kikao...
View ArticleFORUMCC yatoa mrejesho wa yaliyojiri kwenye Mkutano wa Kimataifa wa...
Taasisi isiyo ya kiserikali ya ForumCC imetoa mrejesho wa mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia nchi duniani wa COP20 uliofanyika mwezi Desemba jijini Lima nchini Peru mwaka jana. Akizungumza na...
View ArticleWajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA wamefanya ziara ya kukagua...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Didas Mwilawi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha akisalimiana na Mwenyekiti wa wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA...
View ArticleSerikali yatoa shillingi millioni 21 Nzega mikopo kwa Vijana
Mwenyekiti wa Vijana Saccoss Nzega Bw. Emmanuel Mambo (watatu kulia) akiishukuru serikali kwa kuwapatia kiasi cha shillingi millioni 21 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, kwa ajili ya mikopo ya...
View ArticleRidhiwani Kikwete akabidhi Ambulance kituo cha afya Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (katikati) akikabidhi gari jipya la kubebea wagonjwa (Ambulance), kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Dk. Mastidia Rutaihwa kwa ajili ya Kituo cha...
View ArticlePinda aweka jiwe la msingi shule ya sekondari Kibuteni Zanzibar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipoweka jiwe la Masingi la Shule ya Sekondari ya Kibuteni ya Zanzibar ikiwa ni moja ya ya shughuli za Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Januari...
View Article