Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipoweka jiwe la Masingi la Shule ya Sekondari ya Kibuteni ya Zanzibar ikiwa ni moja ya ya shughuli za Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Januari 10, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar,Ali Juma Shamhuna (wapili kulia) baada ya kuweka jiwe la Masingi la Shule ya Sekondari ya Kibuteni ya Zanzibar ikiwa ni moja ya ya shughuli za Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Januari 10, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Mhandishi Anolf Kileo (kulia) wa Kampuni ya United Builders kuhusu michoro ya majengo ya madarasa, mabweni, ukumbi na nyumba za walimu za Shule ya Sekondari ya Kibuteni ya Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo ikiwa ni moja ya shughuli za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Januari 10, 2014 , Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).