Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake...
View ArticlePAC yajadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2012 baada ya ripoti ya...
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za...
View ArticlePresident Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural...
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete tour the greenhouse shortly after he arrived at China Agricultural University this afternoon. President Kikwete later addressed the University students and lecturers...
View ArticleUK Trade & Investment London/South East Trade Mission to Tanzania
David Bilingsby, Head of the UK Trade & Investment (UKTI) London/South East Trade Mission to Tanzania fields questions from journalists during a press conference held yesterday at Serena Hotel. On...
View ArticleBlood Ebola survivors tested as short-term treatment option
If proven effective, this straightforward intervention could be scaled up in the short term An international research consortium led by the Institute of Tropical Medicine in Antwerp (ITM)...
View ArticleYouth for Africa (YOA) yatambulisha tuzo za Under 30
Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Youth For Africa (YOA) Harisson Anthony Mbugi akihojiwa na mwandishi wa habari mudamfupi baada ya kutambulisha rasmi tuzo za vijana chini ya miaka 30 na upendekezaji wa...
View ArticleSherehe za UN zafana: TZ yataka utekelezaji mfuko wa GCF
Kapteni Emmanuel Kukula (aliyenyoosha kidole) wa Jeshi la Wananchi Tanzania akiwa na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na Mtaalam wa Mahusiano na...
View ArticleMahafali ya Kidato cha nne shule ya sekondari WAMA-NAKAYAMA kufanyika...
TANGAZO- MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE WAMA NAKAYAMA2.pdf by moblog
View ArticleKampuni ya Kariati yakabidhi wakulima matrekta manne leo, Jijini Dar
Kampuni ya Kariati Matracktor Diwani wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma, Omary Kariati, leo imekabidhi matrekta manne kwa wakulima wa wilaya ya Kondoa (matrekta matatu) na Mbarali (trekta moja),...
View ArticleMkombozi Benki kusomesha yatima
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Mkombozi Commercial, Edwina Lupembe. Na Mwandishi wetu Benki ya Mkombozi nchini imesema kuwa mchango wa kifedha wanazopata katika shughuli za kijamii umekuwa...
View ArticleMsikilize Hashim Ludenga afunguka zaidi kuhusiana na sakata la umri wa Miss...
Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga hivi karibuni kulifanyika mashindano ya kumsaka mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2014 (Miss Tanzania 2014) ambapo Sitti Mtemvu alitangazwa kuwa...
View ArticleDkt. Migiro: Wanafunzi Taasisi ya Mufunzo Uanasheria sasa kupata mikopo
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akikagua Jengo la Mahakama ya Mafunzo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Ijumaa, oktoba 24, 2014) jijini Dar es Salaam....
View ArticleMOI yajiimarisha katika utoaji huduma muhimu za Tiba na Upasuaji
Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Patrick Mvungi akieleza kwa vyombo vya habari(hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Taasisi hiyo ikiwemo...
View ArticleSerikali yaweka taratibu za kuzingatia ili kuhakikisha kunakuwa na wamiliki...
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Mwanadamu ameumbwa na kuzaliwa akiwa na asili ya kuwa na uwezo na upeo unaomuwezesha kuwasiliana baina ya mtu na mtu kunzia ngazi ya familia, jamii inayomzunguka, taifa na...
View ArticleMatukio ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda nchini Poland
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Mizengo...
View ArticleMbwembwe za Stand United
Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati...
View ArticleTanzania yaomba madaktari zaidi kutoka China
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. -Imekuwa inapokea madaktari kutoka China kwa miaka 46 -Yashukuru kwa kujengewa Hospitali ya magonjwa ya moyo Muhimbili...
View ArticleMaadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) majukumu wanayotekeleza katika...
View ArticleMroki ajipiga risasi na kufa jijini Arusha
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki...
View Article