Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Matukio ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda nchini Poland

$
0
0

PG4A6721

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini  Warsaw kwa ziara ya kikazi  Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6747

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland  jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6758

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw. Marek Kloczko,Naibu Katibu  Mkuu wa  Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland, (Under Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs),  Bibi Katarzyna Kacperczyk na Bwana  Jerzy Pietrewiez ambaye ni  Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi ya Polland  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6770

 Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda wakati alipowahutubia jijini Warsaw Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7039

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka  kwa mshauri wa uchumi nchini Polland Bw, Aleksandr Zincman (kulia) wakati alipotembelea  kiwanda cha kutengeneza  maghala ya kuhifadhia nafaka (silos), mashine za kukausha nafaka na mashine za kusafisha nafaka cha Chojnow nchini Polland akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6897

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini Polland Bw, Aleksander Zincman(kushoto)  kuhusu usindikaji ngano wakati alipokagua kiwanda cha kusindika unga cha Chojnow nchini Polland akiwa kayika ziara ya kikazi nchini huo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6833

  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda cha  ROL- BRAT  kilichopo Warsaw, Polland akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6827


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Latest Images

Trending Articles



Latest Images