Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Maafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant

$
0
0

3

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akitembeea katika eneo la mradi wa nyumba za wafanyakazi wa Mradi wa kuchakata Gesi Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant  wakati wa ziara ya Maafisa Mawasiliano Serikalini leo Mkoani Mtwara. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAEEZO Bibi. Zamaradi Kawawa na Mkuu wa Kitengo Serikalini wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud(katikati).

4

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga(katikati) akitembelea katika katika eneo la Mradi wa kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant wakati wa ziara ya Maafisa Mawasilano Serikalini katika eneo a mradi huo leo Mkoani Mtwara

5

Mhandisi Jane wa TPDC akielezea jambo kwa Maafisa Mawasiliano Serikalini leo walipofanya ziara ya kutembelea Mradi wa Kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay  and Songo Songo Gas Processing Plant uliopo katika kijiji cha Madimba Mkoani Mtwara. Watatu kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga 

6

Pichani ni Bomba ambalo litatumika kusafirisha Gesi kutoka Mtwara hadi Kinyerezi jijini Dar es Salaam.(Picha na Frank Shija, WHVUM).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles