Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all 5755 articles
Browse latest View live

Jaji Mutungi ajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura

$
0
0

Zikiwa zimebakia siku chache tu kuisha kwa siku zilizotengwa na Serikali kwa wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura kwa mfumo wa BVR katika Jiji la Dar es salaam.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Mwandikishaji Msaidizi Bi. Maida Ally Yusufu akimsainisha Jaji Mutungi  fomu ambazo zimebeba taarifa zake kwa ajili ya kujiandikisha Leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Alama za vidole zikichukuliwa na Mwandikishaji Bw. Ernest Moses Selelya mara baada ya kukamilisha taratibu za ujazaji wa fomu ya utambulisho.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Jaji Mutungi akipiga picha kwa ajili ya kitambulisho.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Mhe.Jaji  Francis Mutungi akipokea  kitambulisho cha mpiga kura kutoka kwa Mwandikishaji Bw.Ernest Moses Selelya.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi akiwa na kitambulisho chake mara baada ya kujiandikisha mapema leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.


Rais Kikwete atunukiwa shahada ya heshima ya Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia

$
0
0

n9

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans Chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n14

Rais Kikwete akimpongeza Bi. Bernadette Mathias ambaye kwa kushirikiana na mpiga piano mumewe Profesa Philip Mathias walitumbuiza kwa wimbo wa “Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote” kwa ufasaha na kusisimua waliohudhuria sherehe za Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n15

Rais Kikwete na msafara wa wanachuo wakiondoka jukwaa kuu huku wakishangiliwa na waliohudhuria ikiwa ni pamoja na Mama Salma Kikwete na mwana wao Ali Kikwete na ujumbe wa Rais Kikwete kwenye msafara huo.

n11

Sehemu ya umati wa wanachuo na wageni waalikwaa waliohudhuria sherehe za Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n12

n13

Sehemu ya Watanzania waishio nchini Australia wakipiga makofi wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n16

Mama Salma Kikwete akimpongeza mume wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n17

Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Newcastle na mkewe Mama Salma Kikwete na mwana wao Ali Kikwete baada ya kutunukiwa shahada.

n18

Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Ujumbe alioongozana nao mkewe Mama Salma kikwete na mwana wao Ali Kikwete baada ya kutunukiwa shahada.

n19

Rais Kikwete katika picha ya pamoja mkewe Mama Salma kikwete, mwana wao Ali Kikwete na Watanzania waishio Australia baada ya kutunukiwa shahada.

n19

n20

n21

Rais Kikwete akipongezwa na raia wa Burundi waishio Australia baada ya kutunukiwa shahada.(PICHA NA IKULU).

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Chuo Kikuu cha Newcastle cha nchini Australia.

Sherehe za kumtunuku Rais shahada hiyo zimefanyika leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Newcastle.

Akisoma maelezo ya utangulizi katika hafla hiyo, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans amesema Rais Kikwete ni Mkuu wa Nchi wa kwanza kupokea digrii hiyo ya heshima kutoka katika Chuo hicho.

Mkuu huyo wa Chuo amesema Rais Kikwete ametunukiwa shahada hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kuleta mabadiliko chanya duniani si kwa Tanzania tu bali  kwa Dunia nzima kwani mchango wake umetambulika  na  mashirika mbalimbali ya kimataifa yakiwemo Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na Benki ya Dunia kwa ujumla.

“Tangu kuingia madarakani Rais Kikwete amechangia katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu , uchumi na Afya” amesema Bw. Jean na kuongeza kuwa “utawala wake umethibitishia sio Chuo cha Newcastle pekee bali pia kuonesha kanuni ya Msingi kuwa Elimu ni muhimu katika kukuza uchumi, uvumbuzi na katika maendeleo ya jamii” amesisitiza.

 

Tanzania imekua ikipokea misaada ya elimu kutoka Australia katika nyanja mbalimbali zikiwemo za madini, fedha, habari na tafiti mbalimbali ambazo zimeleta mabadiliko chanya katika jamii na duniani kwa ujumla.

Kwa sasa Watanzania wanne wanachukua masomo ya uzamifu katika masuala ya elimu na siasa.Tayari Watanzania 45 wamemaliza digrii na pia wapo watafiti kutoka Newcastle wanaofanya tafiti zao nchini Tanzania katika masuala ya elimu, afya na uhandisi.

Rais Kikwete ameshukuru na kuelezea jinsi alivyoguswa na tukio hilo ambapo ameushukuru uongozi wa Chuo hicho kwa kutambua mchango wake ambao ameelezea kuwa ameufanya wakati wa kipindi cha uongozi wake kwa moyo, upendo na nia njema kwa wananchi wote wa Tanzania na Dunia kwa ujumla.

“Ilikua nia yangu na wajibu wangu mkubwa kutumia ahadi nilizo waahidi wa Tanzania na hata zaidi ya kile nilicho ahidi na kuelezea kuwa mafanikio haya yote yamechangiwa pia kwa kiasi kikubwa na misingi imara iliyowekwa na viongozi walionitangulia upande wa Tanzania bara na Tanzania Visiwani kwa ujumla”

Katika utawala wake Rais Kikwete ametunukiwa shahada za heshima kutoka vyuo mbalimbali vya Marekani, Canada, China, Uturuki na Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam.

Rais Kikwete pia ametunukiwa tuzo za heshima mbalimbali katika masuala ya Kijamii (United Nations Social Good Award), Afya, Technolojia na Maendeleo (South-South Award for Global Health, Technology and Development) pamoja na Demokrasia (Icon of Democracy Award (Nertherlands)

Rais pia amepata kutunukiwa  na kutambuliwa kwa Mchango wake ambapo alitunukiwa nishani kadhaa zikiwemo;

1.(Most Excellent Order of the Peral of Africa) ambayo ni nishani ya juu nchini Uganda.

2.The order of the Green Crescent of the Comoros (Comoros)

3.Order of Abdulazizi Al Saud (Saudi Arabia)

4.Order of excellence (Jamaica)

5. Order of Oman (Oman)

6. AAI African National Achievement Award

7. U.S. Doctors for Africa Award

8. Good Governance in Africa  2015

Sherehe hiyo imehudhuriwa na Mstahiki Meya  wa mji wa Newcastle, Mama Nuatali Nelmes, walimu na wakufunzi wa Chuo cha Newcastle, wanafunzi wa Kitanzania na familia zao pamoja na Watanzania kadhaa wanaoishi na kufanya kazi katika mji wa Newcastle.

Rais Kikwete amekamilisha ziara yake ya Kiserikali ya siku nne nchini Australia na anatarajia kuelekea Dar-es Salaam tarehe 30 Julai, 2015

Imetolewa na:

Premi Kibanga,

Mwandishi wa Habari wa Rais, Msaidizi

Newcastle-Australia

29 Julai, 2015

Museveni, former African Presidents to discuss steps to take for Africa’s integration

$
0
0

Uongozi

 

An integrated continent has been the goal of African countries since the attainment of independence more than 50 years ago. Arguments for speeding up the integration process have been advanced by many, and it is generally agreed that integration would be politically and economically beneficial for Africa. The key challenge is to find a way to make this vision a reality.

H.E. Yoweri Kaguta Museveni, President of Uganda, and former Presidents Benjamin William Mkapa of Tanzania, Olusegun Obasanjo of Nigeria, Bakili Muluzi of Malawi, Jerry Rawlings of Ghana, Hifikepunye Pohamba of Namibia and Festus Mogae of Botswana are set to attend the African Leadership Forum 2015, to be held on July 30thin Dar es Salaam.

The forum, which has been convened by H.E. Benjamin William Mkapa, former President of the United Republic of Tanzania, and coordinated by UONGOZI Institute will kick start with a plenary session where H.E. Yoweri Museveni will be the keynote speaker.

According to a statement released by UONGOZI Institute, the African Leadership Forum 2015, with the theme of ‘Moving Towards an Integrated Africa: What needs to be done?’, will bring together more than 100 key influential leaders and thinkers across the continent, including the former Heads of State, and leaders from business, government, civil society and academia.

“The forum builds on the success of the inaugural dialogue in 2014 on Meeting the challenges of Africa’s transformation”, said the statement, “this year’s event will provide a platform to reflect on the continent’s integration journey thus far, take stock of the challenges and opportunities and forecast prospects for Africa’s future.”

Following the keynote address by H.E. Yoweri Museveni, the plenary session will feature a panel discussion with H.E Olusegun Obasanjo, H.E. Jerry Rawlings, H.E. Bakili Muluzi  and Dr. Salim Ahmed Salim, former Secretary General of the Organisation for Africa’s Unity (OAU). The panel will deliberate on what kind of integration Africa should pursue, and the related challenges.

At the end of this one-day event, it is expected that a declaration from participants will be produced, with recommendations on the way forward regarding what needs to be done to achieve an integrated Africa.

The forum will be followed by a dinner gala where the awards ceremony for the winners of UONGOZI Institute’s annual Leadership essay competition for East and Southern African youth between the ages of 18-25 will take place.

Advert ALF July 23fin.pdf 

Serikali yasaini Mkataba wa kukusanya zaidi ya Sh. milioni 12 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka 2015/16

$
0
0

09

Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.

Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo jijini Dar es Salaam kati ya Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bernard Mchomvu kwenye hafla iliyohudhuriwa na baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA.

 “Hakikisheni mnakusanya mapato kama ilivyopangwa na kufikia malengo tuliyojiwekea katika kukusanya mapato ya ndani katika mwaka huu wa fedha” alisema Waziri wa Saada.

Waziri huyo aliwaasa watendaji wa TRA  kuwawekea wafanya kazi mazingira mazuri ya kutekeleza wajibu wao inavyopaswa na wanapokwenda kinyume na makubaliano ya kazi watawajibishwa kwa mujibu wa sheri, kanuni na taratibu za utumishi wa umma.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA Bernard Mchomvu alimhakikishia Waziri wa Fedha kuwa watafikia lengo walilokubaliana kukusanya na hata kuzidi kiwango hicho ambacho kimeainishwa katika bajeti ya Serikali.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na uongozi wa SUMATRA, TRA, TABOA, RC-DSM na Waziri wa Fedha Ikulu kwa mazungumzo

$
0
0

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ECG NA AL KAN KUTOKA MISRI, IKULU DAR.

001

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Wafanyabiashara wa ECG na Al Kan kutoka nchini Misri, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 29, 2015 kwa mazungumzo. (Picha na OMR).

003

004

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara wa ECG AL Kan kutoka nchini Misri, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai, 29, 2015. 

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) TRA, SUMATRA, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri wa Fedha, wakati  walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 29, 2015. 

02

03

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa SUMATRA, TRA, na Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Fedha, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam,leo Julai, 29, 2015. (Picha na OMR)

Habari toka vituo vya Televisheni usiku huu

$
0
0

simutv

SIMUTV: Hatua ya waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa kuhamia CHADEMA baadhi ya wanasheria wamezungumzia haki za sheria  za uongozi. http://youtu.be/DjL7n4CjpdE

SIMUTV: Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam atarajiwa kuzindua programu ya kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa vijana wa mkoa huo ijumaa ya wiki hii. http://youtu.be/IlfQv7VKdeM 

SIMUTV: Mamlaka ya mapato Tanzania TRA yakutana na waagizaji na mawakala wa kutoa mizigo katika semina iliyolenga kuangalia mfumo mpya wa forodha wa Tancis. http://youtu.be/c9Omy3ZbRXA

SIMUTV: Rais Jakaya Kikwete atunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa sheria na chuo kikuu cha Newcastle cha nchini Australia. http://youtu.be/_OlCF-DjYOA

SIMUTV: Licha ya kuminywa kwa mapato kutoka katika kampuni za uchimbaji wa madini Tanzania, utafiti waonesha halmashauri zatumia pesa pasipo lazima. http://youtu.be/EC6WlDyxuDQ

SIMUTV: CCM yasema inategemea kupata ushindi wa urais,wabunge na madiwani katika uchaguzi mkuu licha ya mheshimiwa Edward Lowassa kuhama chama hicho. http://youtu.be/kYWf7aw1s2I

SIMUTV: Jeshi la polisi mkoani Geita lamuhoji kijana mmoja kwa majina ya Buluba Ngassa 46 mkazi wa kijiji cha Chikobe kwa kukutwa na shahada 35 za kupigia kura. http://youtu.be/BlEEEU4kzW0

SIMUTV: Hatimae timu ya Azam fc yenye maskani yake Chamanzi yafuta uteja kwa timu ya Yanga baada ya kuitoa katika michuano ya kagame na kusonga mbele. http://youtu.be/ZWmQDmzezvs

SIMUTV: Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ,champitisha Edward Lowassa kuwa mgombea uraisi kupitia chama hicho.http://youtu.be/Lx1ueHIyY6U

SIMUTV: Naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba atoa ufafanuzi juu ya tuhuma zinazomkabili baada ya kudaiwa kukiuka sheria za uchaguzi na matumizi ya rushwa katika kuwania uongozi jimboni kwake. http://youtu.be/sslbHrkR-QQ  

SIMUTV: TWAWEZA yatoa ripoti juu ya utafiti kuhusu kiwango cha taarifa walichonacho wazazi juu ya sera za elimu na utekelezaji wake. http://youtu.be/OiBZ4txv-78 

SIMUTV: Mhadhiri na mchambuzi wa siasa toka chuo cha St.Augustino azungumzia sakata la Lowassa kuhamia UKAWA.http://youtu.be/c_8wOAT3egk

SIMUTV: Baada ya Ziara ya raisi Obama nchini Kenya watoto waliozaliwa wakati wa wizara hiyo wapewa jina la Obama huku wengine wakiwaita jina la ndege ya raisi Obama. http://youtu.be/JMowD51kzT8

SIMUTV: Mahakama ya Afrika Mashariki yatoa sababu kadhaa za kushindwa kuingilia kati mgogoro wa Burundi kisheria kufuatia kesi kufunguliwa mahakamani hapo. http://youtu.be/pYe-_q1O5u4

SIMUTV: Naibu spika wa Bunge Job Ndugai ampiga mgombea mwenzake wa ubunge katika jimbo la Kongwa na kusababishwa kukimbizwa hospitali. http://youtu.be/eDaAuCNpPvI

SIMUTV: Shirika la umeme Tanzania TANESCO lasema gesi asilia toka Mtwara inatarajiwa kuingizwa katika grid ya taifa mapema mwezi ujao. https://youtu.be/ma-aDvQTmNs

SIMUTV: Panya waelezwa kutumika katika ugunduzi wa tiba ya kifua kikuu katika chuo kikuu cha SUA.http://youtu.be/bV0TPy3yoQU

SIMUTV: Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia uendelezaji  wa viwanda duniani kukabidhi mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa mkoani mbeya. http://youtu.be/4YgldfgfXr8

SIMUTV: Manispaa ya Kinondoni yazindua bodi ya timu ya soka inayojulikana kama KMC fc na kuipa jukumu la kuhakikisha timu inashiliki ligi kuu. http://youtu.be/Y1bfWwO5HTQ

SIMUTV: Katibu wa CCM mkoa wa Singida atoa onyo kwa wagombea nafasi za ubunge kupitia chama hicho kuacha kujihusisha na vitendo vinavyo kiuka sheria. https://youtu.be/ENyFZy8kqrU

Jovago Tanzania: It is a high time for Tanzanian government to ensure acquisition of birth certificates is practical

$
0
0

birth registration

Birth Registration of children under 5 years in Tanzania and Africa at large is still a challenge despite the efforts of the government and other partners both local and international jointly aimed at improving the service in the country.

The 2014 statistics released by UNICEF child protection in Tanzania shows that only 3% of rural children and 22% of urban children under the age of 5 have their birth certificates in the country, this illustrates how many children in the country lack these important birth certificates.

2014 STATISTICS OF BIRTH REGISTRATION IN RURAL AND URBAN AREAS

jovago

According to Registration Insolvency Trusteeship Agency (RITA),  birth certificate registration has been made compulsory by the law. Despite such efforts made by the government to boost and ensure birth certificates, most of the setbacks like information flaws, home births, and remoteness of some areas of birth prevent many parents from accessing the service.

Despite of the setbacks, Andrea Guzzoni, Country Manager of Jovago Tanzania explained that there are a number of reported challenges  unregistered children might face inclusive of:

Difficulties in accessing passports, opening a bank account and complications in joining higher learning institutions as they request for birth certificates. Also hindrances may arise when searching for certain jobs as many employers request for birth certificate. Another future challenge is proving the age before the court of law. A child may later lack credible information to provide before the court which may hinder several rights that may be required to be granted, this proves how birth certificates are very important to be issued in life of a child”.

Several initiatives have been created by the Tanzanian government to improve birth registration in the country by joining hands with other stakeholders. RITA, UNICEF and in May 2015 TIGO, through joint efforts succeeded to introduce mobile phone registration system in Mbeya region, this allows parents and health workers to register for birth certificates in no time.

According to UNICEF, before the introduction of the system, there were more than 383,000 unregistered children under 5 in Mbeya, six months later more than 150,000 under-5 children were registered thus reviving the prospect of registering as many children as possible in other regions as far as the system is concerned.

Mr. Guzzoni explained that JOVAGO’s alliance with UNICEF aims to support the initiative to support birth registration in African continent. Having saying so, we have to make sure this movement of birth registration is taken more serious in each village and in all sectors since birth certificates are of paramount importance to every citizen”.

Mahakama yatupilia mbali pingamizi katika kesi ya mirathi ya Mwandishi wa habari mkongwe nchini

$
0
0

BETTY 1

Pichani ni mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu, Betty Luzuka enzi za uhai wake.

Bw.+Phil-Makini+Kleruu

Aliyekuwa Ofisa mwandamizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Phil Kleruu.

Na Mwandishi wetu, Arusha

Mahakama ya mwanzo ya Maromboso imetupilia mbali  kesi ya pingamizi iliyofunguliwa na mke wa aliyekuwa ofisa mwandamizi wa jumuiya ya Afrika Mashariki,Phil Kleruu aitwaye Hilda Kleruu kwa madai kwamba siyo mwaminifu na hivyo amekosa sifa ya kuwa msimamizi wa mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu ,Betty Luzuka.

Kesi hiyo ya mirathi iliyovuta hisia za watu mbalimbali jijini Arusha ilifunguliwa katika mahakama ya mwanzo ya Maromboso  yenye nambari 222 ya mwaka 2013 iliitaka mahakama hiyo ipitie hukumu yake iliyotolewa Septemba 27 mwaka 2013  na hakimu Prince Gideon iliyompa  ushindi kaka wa marehemu,Ssarongo Luzuka.

Hilda, alifunguliwa kesi na kaka wa marehemu, Ssarongo Luzuka akimtuhumu kujimilikisha mali za marehemu bila kufuata utaratibu wa kifamilia na kimahakama mara baada ya marehemu kuaga dunia Agosti mwaka 2013 katika hospitali ya Shreee Hindu ya jijini Arusha baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Akitoa hukumu ya pingamizi mbele ya mahakama juzi  hakimu aliyekuwa akisiliza pingamizi hiyo,Moka Mashaga alisema kuwa kitendo cha mdaiwa kuchukua fedha kwenye akiba ya marehemu kabla na baada ya kifo chake kimethibitisha kwamba hakuwa mwaminifu kuwa msimamizi wa mirathi.

Katika hukumu ya kesi hiyo iliyosomwa kwa muda wa saa 1;30 mahakama hapo hakimu huyo alisema kwamba mpingaji(Hilda) amepoteza sifa ya kuwa msimamizi wa mirathi kwa kuwa alitaka kuuza mali za marehemu kabla hata shauri lililowasilishwa mahakamani hapo kusikilizwa.

“Ushahidi wa mdaiwa ni hafifu na umetupwa ,mahakama inakubaliana na ushahidi wa wadai kwani umeonyesha walikuwa karibu na marehemu na alipougua waliweza kutuma fedha za matibabu na hata kumhudumia”alisema Hakimu Moka

Hatahivyo,Hakimu huyo alienda mbali zaidi na kusema kuwa wosia uliowasilishwa na upande wa mdaiwa una dosari kwa kuwa haukuwa na mhuri na kuongeza kwamba kitendo cha wakili wa upande wa mdaiwa,Wilferd Mirambo  kutofika mahakamani hapo kuthibitisha wosia huo kimethibitisha wosia huo una dosari na wakili huyo hakutaka kujiingiza katika makosa.

“Mahakama inaheshimu wosia lakini uwe umefuata sheria wakili Mirambo pamoja na kuitwa mahakamani lakini hakuweza kufika kuthibitisha wosia huo,mahakama inathibitisha kwamba kitendo cha kutofika mahakamani kinathibitisha kwamba hakutaka kujiingiza kwenye makosa”alisisitiza Hakimu huyo

Akimalizia kusoma hukumu hiyo hakimu Moka alisema kwamba kaka wa marehemu Sarongo Luzuka pamoja na dada wa marehemu Jullie Luzuka wataendelea kuwa wasimamizi wa mirathi ya marehemu kwa kufuata sheria za mirathi na baada ya siku 30 watapaswa kuleta orodha ya mali za marehemu mahakamani hapo ili ziweze kugawanywa kwa mujibu wa sheria.


Bolstering the African Voice – A chance for African media stakeholders to shape the continent’s future

$
0
0

radio-symposium

Africa should be telling its own story

WHAT: Radio 786 (http://www.radio786.co.za), a leading South African broadcaster will be hosting a media symposium under the theme: Bolstering the African Voice. The symposium will bring together international experts from America, the Pacific, Latin America and Africa and offer an exciting opportunity to network, dialogue and collaborate in media development. Stakeholders are also invited to submit papers for presentation at the symposium.

150729inv

Download the Call for Papers: http://www.apo-mail.org/150729cfp.pdf

Download the Symposium Media Pack: http://www.apo-mail.org/150729smp.pdf

WHO: Professor Seif Dana      Professor and Chair: Department of Sociology and Anthropology at University of Wisconsin-Parkside (USA)

Professor Steven Friedman Director: Centre for the Study of Democracy at Rhodes University and University of Johannesburg

Professor Saths Cooper Anti-Apartheid activist President: Pan-African Psychology Union (PAPU)

Professor Peter Alexander South African Research Chair in Social Change at University of Johannesburg 

                                Media from Latin America, the Pacific, Middle East, Africa                                                    

WHERE:Old Mutual Conference Room, Kirstenbosch Gardens, Cape Town, South Africa

WHEN:Thursday, 10 September 2015 from 9am to 4pm

Participation is FREE and includes complementary access to the Radio 786 Gala Dinner

WHY: In an era of the African renaissance and with renewed interest in Africa from both the east and west, Africa should be telling its own story. As the media landscape develops, African media must develop their own model to reflect the aspirations, ideals and challenges of the continent. The Radio 786 Media Symposium offers the opportunity to develop this strategy and borrow from the expertise of fellow media in other parts of the world.

Did You Know?

$
0
0

Untitled

E-commerce has been around for a while but the global expansion of the “social web” and affordable mobile smart phones have supercharged its growth.  

Let us take a look at some ecommerce facts and stats we have put together that you need to know to ensure you are focusing on the right optimization tactics and opportunities.

1. 44% of all shoppers begin by using a search engine, with Google being the biggest single driver. An Outbrain study shows that search is the #1 driver of traffic to content sites, beating social by 300%. We conduct 131 billion searches a month. Many customers from online shopping communities like Kaymu say they got the link to a product after searching for it on a search engine like Google.

2. Facebook is responsible for 60% of all social traffic. Half of social-media-driven purchasing happens within one week of sharing, tweeting, liking or “favoriting” the product.

3. A study showed that satisfied customers tell 9 other people about their positive experience. Dissatisfied customers are likely to talk about their negative experience with 22 other people!

4. You are 60-70% more likely to make an existing customer buy a product, while it is only 5-20% likely to convert a new customer. Repeat customers also spend 300% more than new customers. As a result, boosting retention rates by just 5% can increase profits from 25-95%!

5. The “Webrooming” trend (bought in store after browsing digitally) is estimated at 78% of all retail shoppers. The “Showrooming” trend (bought digitally after browsing at a store) is estimated to be 72% of shoppers.

Between the years 2007 and 2012, we saw Global online retail sales more than double from $236 billion to $521 billion.

Untitled 1

As the rest of the world has been taking these giant steps into furthering ecommerce and benefiting from its advantages, Africa has not been left behind. A recent study, A Digital Savannah: Africa’s e-commerce promise, commissioned in partnership with World Wide Worx and authored by Arthur Goldstuck, has revealed some fascinating trends shaping online consumer behavior across the African continent and this infographic highlights some of the key statistics propelling e-commerce opportunity in Africa.

Untitled 2

Untitled 3

Exclusive: Wafanyabiashara ndogo ndogo Posta mpya watwangana makonde ‘live’

$
0
0

DSC_1999Baadhi ya wafanyabiashara hao wadogowadogo wakiwa katika ugomvi huo ambao ulidumu zaidi ya dakika 10, huku kila mmoja akimshambulia mwenzake kwa kile kilichosemekana kugombea eneo la kupanga bidhaa zao hizo. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Ilala-Dar es Salaam) Wafanyabiashara wadogowadogo maarufu Machinga  asubuhi ya leo wameweza  kusimamisha baadhi ya shughuli  eneo la kituo cha mabasi cha Posta mpya baada ya  kutokea ugomvi baina ya wao kwa wao wakigombea eneo la kuweka bidhaa zao hizo.

Tukio hilo la aina yake liliweza kuhusisha machinga hao zaidi ya wanne wakigombea  maeneo hayo.  Ugomvi huo umeweza kuteka hisia za wengi kwani kila mmoja aliweza kumalalamikia mwingine hali iliyopelekea kushikana mashati na kupigana makonde hayo ‘kavukavu’ huku kila mmoja akimpiga mwingine.

Hata hivyo ugomvi huo uliendelea kuwa mkubwa baada ya kila mmoja kumshambulia mwingine  ulidumu  zaidi ya dakika 10 ambapo baada ya kuona kamera ya modewjiblog waliamua kuumaliza ugomvi huo huku wakilalamikia wasipigwe picha na wengine kukimbia kuogopa kupigwa picha zaidi.

DSC_1996Ugomvi  huo ukipamba moto…

DSC_1994…Makonde yakiendelea ilikuwa ‘kavu kavu’..

DSC_1984Ugomvi ulianzia hapa baada ya kuanza kugombea eneo la kuweka miamvuli hiyo..

DSC_1985ugomvi huo ukiendelea ‘mmshike mshike..

DSC_1992

TITAO

What do customers really want?

$
0
0

150730dhl

Fatima Sullivan, Vice President of Customer Services for DHL Express Sub-Saharan Africa.

dhl_logo2

*Study shows customer experience will overtake product and price as a key brand differentiator by 2020

In an ever changing and fast paced world where alternatives are rife, customer experience is rapidly becoming one of the most important elements of a business’ success. According to the Institute of Customer Service(1), the driving factor that will determine decisions going forward will be the level of a customer’s intellectual and emotional engagement with the purchase.

Fatima Sullivan, Vice President of Customer Services for DHL Express Sub-Saharan Africa (http://www.dpdhl.com), says, “If the customer is not the key focus in all activities, whether it is improvements in delivery times or query resolution processes, efforts are wasted. Customers know what they want, and how they want it. You just need to listen to them.”

She points to the recently released Walker report titled Customers 2020(2), which reveals that by 2020, customer experience will overtake product and price as the key brand differentiator, and therefore more emphasis will need to be placed on the experience a company delivers to create a competitive advantage.

“The voice of the customer is therefore an important element to consider when planning your strategies. Customers want to engage with companies who can not only provide a service, but are able to tailor-make solutions and respond quickly to changing demands. In the logistics industry, where unforeseen delays may arise, it’s important to be able to react quickly and proactively communicate with your customers. Engaged customers understand that things go wrong sometimes, but they need to trust that you are able to recover from it in a fast and professional manner,” added Sullivan.

It’s not just about problem resolution, but more importantly, about determining the root-cause, and to ensure that the problem does not occur again. 

“Customers should also be able to access various escalation channels easily – there’s nothing worse than situations where frustration levels are high and you cannot track down the right person to assist you. In DHL’s case, we introduced a best-in-class feature to our website which we refer to as Straight to the Top (STTT). This allows customers to have access to the DHL Express Senior management team, including the Africa Management Board. It’s all about accessibility and speed of query resolutions.”

“We need to make sure that every individual in the business understands the impact they can have on the customer experience, and focus on the smaller details that drive quality. An insanely customer-centric culture can only be achieved if all employees have the same goal in mind – to delight the customer at every opportunity.”

“We service over 40,000 customers across Sub Saharan Africa and the only way we are able to provide the service quality that our customers have been accustomed to is by having a team of 3500+ Certified International Specialists, all focused on the same thing. Your people are the golden thread that keeps it all together. You can have the best customer feedback tools and CRM systems, but if you don’t have the right people analyzing the data and implementing the solutions, your business cannot move forward,” concludes Sullivan.

Heart & Brain…Reality of Life!

JUST IN: Muda wa kujiandikisha Dar waongezwa

$
0
0

lub

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, Jaji Damian Lubuva.

Na Magreth Kinabo

Tume Taifa ua Uchaguzi(NEC) imeongeza  siku nne  zaidi   kwa mkoa  wa jiji la Dar es Salam  kujiandikisha   katika daftari la kudumu la kupiga kura   ili kuwezesha wakazi wengi  kujiandikisha .

 Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dares Salaam Mwenyekiti  wa  tume hiyo  Jaji Mstaafu Damian Lubuva alisema uamuzi huo umetokana  na kuwepo kwa  mwamko mkubwa  wa wananchi waliojitokeza  kwa wingi  isivyo kawaida katika vituo mbalimbali.

“Tume imeamua kuongeza musa wa kulizia watu watakaokuwapo vituoni siku ya mwisho yaani kesho tarehe 31,Julai, mwaka 2015. Sasa  muda umeongezwakwa siku nne ili kumalizi unadikishaji huo,” alisema Jaji Lubuva.

Jaji aliongeza kwamba   hivi  sasa hadi kufikia jana tarehe 29 ,Julai wananchi waliojiandikisha  katika daftari hilo ni 18,826,718 kwa nchi nzima , wakati lengo lilikuwa ni kufikia wananchi milioni 23 hadi 24.

Alisema hadi siku ya jana watu waliojiandikisha katika jiji hilo ni 1,754,725  sawa na asiliamia   62.4,wakati makadrio ni watu 2,810,423.

UAP Insurance Tanzania yazindua huduma zake mpya na tafrija fupi

$
0
0

DSC_1898Meneja madai wa kampuni ya Bima ya UAP Bw. Michael Emmanuel (kushoto) akiwa na  Ally Athumani Meneja Uandikishaji wa UAP wakati wa utambulisho wa huduma hizo mpya walizo zindua za UAP  JIKINGE  na  UAP FAMILY KINGA  (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Dar es Salaam). Kampuni ya Bima ya UAP   Tanzania,  wamekuja na huduma mpya  mbili za Bima kwa watu wote ambayo itaboresha maisha ya wateja wake ikiwemo katika huduma za matibabu mbalimbali nchini.

Huduma hizo  mpya ni pamoja na  UAP Jikinge  na UAP Family Kinga huduma ambazo  kila mmoja ataweza kujiunga na huduma hizo kutokana na kiwango cha kujiunga ambacho kinaanzia  sh 35,000 na kuendelea.

Kampuni hiyo yenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam,  ina matawi mikoa mbalimbali nchini imekuwa ni miongoni mwa makampuni bora ya Bima nchini yanayoongoza kwa kutoa huduma zake.

Uzinduzi huo uliofanyika katika hoteli ya Serena, ulienda sambamba na tafrija fupi kwa wadau na wateja wa UAP kwa kujumuika pamoja kwa kunywa na kubadirishana mawazo.

kbMaofisa wa juu wa UAP wakiwa katika picha ya pamoja katika tafrija hiyo fupi ya  uzinduzi wa huduma mpya mbili za UAP.

ljMkurugenzi Mtendaji wa UAP, Michael Kiruti  akisisitiza jambo kwa wadau mbalimbali  wa masuala ya Bima na wateja (Hawapo pichani) waliojitokeza katika hoteli ya Serena wakati wa uzinduzi wa huduma hizo mpya za UAP FAMILY KINGA na UAP JIKINGE, Kushoto kwake ni Meneja biashara wa UAP, Raymond Komanga. 

8Baadhi ya wadau wa UAP wakibadirishana mawazo wakati wa tafrija fupi ya uzinduzi wa huduma mpya za UAP JIKINGE  na UAP FAMILY KINGA.

sMaofisa wa UAP wakiwa katika tafrija hiyo…

ytWadau wa UAP wakiwa katika tafrija hiyo ya uzinduzi …

vfrgbh

v

om

qaln

ree

jbj

j

hg

2Mmoja wa wadau wa UAP akiuliza swali kuhusiana na huduma mpya zilizozinduliwa na UAP…

dd

a

54s

ugij

ijp

hikhjb

gf

ojl

uik‘Queens’ wa UAP  wakiwa katika puzi wakati wa tafrija hiyo ambao walihakikisha kila mmoja anatoka hapo na zawadi maalum kutoka UAP….


Tanzanian Government Confers Huawei with The Outstanding Leadership and Contribution Award

$
0
0

150730h

Huawei representative received the award from Ms. Selina Lyimo, Acting Permanent Secretary in the Ministry of Communication, Science, and Technology of Tanzania.

Tanzania’s leading global information and communications technology (ICT) solutions provider (Huawei) (http://www.huawei.com) has today been conferred with the outstanding ICT leadership and contribution award during a 2 day summit dubbed (C2C) connect to connect.

The summit which kick started today at Ramada hotel, Dar Es Salaam brings together ICT practitioners, policy makers, investors and solution providers to deliberate on how to drive country to country broadband connectivity across Africa, from Coast to coast and innovations that will propel Tanzania’s economy and facilitate public service excellence.

Huawei received the award from the Ministry of Communication, Science and technology following its active participation in the ICT industry and leader position in doing research and great contribution in the evolution of broadband connectivity in Tanzania.

Speaking during the summit, Huawei’s Senior Solutions consultant Eastern and Southern Africa Dr. Bello Moussa said ”The countries of Eastern and Southern Africa have shown great enthusiasm in investing and innovating within the broadband ecosystem over the past few years. These countries are of course at different stages of ICT development but unfortunately, 90% of the population of the region can still not access broadband at home so therefore we are currently far behind more advanced markets.

The summit also saw Huawei present its new LTE network titled “Huawei’s leading road to 5G network. During the presentation, Huawei showed strategic thinking on continuous developing path from 3G to 4G/4.5G and 5G.

Transition to LTE is the way to leading competitiveness. The LTE eco-system is getting mature with massive deployment of LTE network. Presenting on the new 5G network during the Connect to Connect (C2C) workshop hosted by Huawei Tanzania, The Vice president of Huawei Wireless Marketing, Alex Wang said “Huawei have helped operators build near 200 LTE networks worldwide and accumulate abundant experience on mobile network evolution. Huawei continues to pay attention to protect customer’s investment and more importantly focusing on the network evolution to help customers improve the competitiveness”.

Huawei’s contribution in the 5G research is recognized by the industry widely and was awarded “Biggest contribution to 5G Development” at 5G world summit on 26th June 2015 LTE workshop.

This is also the second time that the government of Tanzania recognizes the efforts Huawei in the country among them being the Memorandum of understanding (MoU) between Huawei and the government to deal with the ICT strategies to fulfill the country’s vision of 2025.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, jijini Arusha

$
0
0

11

Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye Kilometa 26. Hafla hiyo imefanyika Julai 30, 2015. (Picha na OMR).

 

1B

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye Kilometa 26. Hafla hiyo imefanyika Julai 30, 2015.

3B

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli na baadhi ya Viongozi, kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi harakati za ujenzi wa Barabara ya Kilometa 26 ya Kia-Mererani, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika mji mdogo wa Mererani.

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, na baadhi ya viongozi wakifunua kitambaa kwa pamoja kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mji mdogo wa Mererani.

3

7B

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu  baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia- Mererani.

9

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi.

10

13B

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakicheza sambamba na kinamama wa kabila la Kimasai wakati wakifurahia ngoma ya Kimasai kwenye hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, leo Mkoani Manyara.

15

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakifurahia ngoma ya asili kwenye hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, Mkoani Manyara.

12

Magufuli, akikabidhiwa fimbo ya heshima ya kabila la Kimasai.

4.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa vazi la kabila la Masai na Kiongozi wa Mila ya Laibuwanani, Kisota Lengitambi, wakati wa hafla hiyo ya uwekaji wa Jiwela Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani.

5

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa makabila mawili makubwa ya Kimasai baada ya kumvisha vazi hilo.

6

Dkt. Bilal akiagana na viongozi hao wa kabila la Masai.

16

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwashukuru wananchi wa zawadi ya vazi la Kimasai, baada ya kuvishwa wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia- Mererani, Mkoani Manyara. (Picha na OMR).

Kidoti :Vijana wa jiji la Arusha changamkieni fursa za kijasiriamali

$
0
0

 

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Jokate Mwegelo  (kidoti) akiwa na mabalozi wake aliwapata ndani ya mkoa wa Arusha tayari kwa kwenda mtaani kutangaza bidhaa zake zake za kidoti zilizoingia jijini Arusha kwa mara ya kwanza.

Warembo wa Kidoti wakiwa wako katika pozi wameshikilia baadhi ya bidhaa za Kidoti.

Mmoja wa mabalozi wa Kidoti  aliyejulikana kwa jina la Anolia Agustino akiwa anaongea na waandishi wa habari.

Meneja masoko wa kampuni ya Kidoti, Peter Kasija akiwa anaongea na waandishi wa habari ndani ya viwanja vya Triple A hii jana wakati walivyokuja jijini Arusha kutangaza bidhaa za kampuni yao.

Mabalozi wa Kidoti wakiwa kazini.

Baadhi ya bidhaa zinazosambazwa na Kidoti jijini Arusha.

Ndala za Kidoti.

Mawigi ya  Kidoti ndio haya.

Na Woinde Shizza wa libeneke la kaskazini blog

Wito umetolewa kwa vijana ndani ya jiji la Arusha kujitokeza katika kuchangamkia fursa za kijasiriamali zinazojitokeza ili kuweza kuwaepushia vijana na matendo maovu yanayoweza kuwafanya ndani ya jamii kukosaa thamani.

Wito huo umetolewa na Jokate Mwegelo (Kidoti) wakati akichagua vijana wajasiriamali ndani ya jiji la Arusha katika ukumbi wa Triple A jijini hapa ambapo anatarajia kuwapata wajasiriamali vijana ambao hatawaingiza katika fursa ya wajasiriamali kwa kupitia kampuni yake ya Kidoti.

Alisema  kuwa amevutiwa  kuja kuwekeza ndani ya jiji la Arusha  katika nyanja za ujasiriamali kwa kuwa anaelewa kuwa vijana wa jiji la Arusha hususa ni wasichana wana muitikio mkubwa katika swala zima la ujasiriamali na maendeleo binafsi.

 Aidha alibainisha kuwa katika  mchakato huo wanatarajia kupata wajasiriamali wapatao 13 ambapo tofauti na kujiingizia kipato cha ujasiriamali pia watakuwa mabalozi wa kutangaza bidhaa zilizo chini ya kampuni ya Kidoti.

 “ndugu mwandishi unavyowaona hawa wote hapa ni vijana kutoka mkoa mzima wa Arusha na mikoa ya jirani tunawafanyia usaili na kupata vijana ambao wanakidhi vigezo vya kuingia katika ujasiriamali ,utakao wapelekea wao kufanya kazi na kampuni ya kidoti pamoja na kujiajiri binafsi” alisema Kidoti

Pamoja na hayo alisema kuwa kampuni hiyo kwa mwaka huu imeamua makusudi kusogeza huduma za  ikiwemo bidhaa zake katika mikoa ya nje ya jiji la Dar Es Salaam ili kuwapa furusa watu wa mikoani ambao walikuwa hawazipati huduma za Kidoti.

Kwa upande wa mmoja wa washiriki waliojitokeza katika mchujo huo Anolia Agustino  alimpomgeza Kidoti kwa hatuqa aliofikia ya kuwaajiri vijana haswa wasiochana kwani, jambo hili litawasaidia wanasichana wengi kupata ajira pamoja na kujiajiri binafsi.

Aidha alisema kuwa  mbali na kupata ajira pia kampuni hii itawasidia kujifunza ujasiriamali pamoja na kujiajiri binafsi kwani, bidhaa za Kidoti ni za bei na fuuu na unaweza kuanza kujiajiri kwa kutumia mtaji mdogo.

Kwa upande wa mshiriki mwingine ambaye tayari alikuwa amenufaika na kampuni ya Kidoti aliyejitaja kwa jina la Anjela Mushi alisema kuwa kampuni hii imemsaidia sana kwani alikuwa anakaa nyumbani bila kazi lakini alivyoona kwenye mtandao wa kijamii aliamua kujitafuta mawasiliano na kuanza  na mtaji mdogo na kwasasa hivi mtaji wake umekuwa.

“Mimi nilianza kuona bidhaa za Kidoti katika mitandao ya kijamii kama Instagramu  nikaamua kutafuta mawasilano kwakeli nilipata na nilikuwa na mtaji mdogo kwani nilianza na mtaji wa shilingi laki moja na sasa na shilingi laki nne na biashara yangu nilianza mwezi wa tano na sasa ni mwezi wa saba  kwa hadi sasa nina mienzi mitatu nashukuru Mungu mtaji wangu umekuwa”alisema Anjela.

Alimalizia kwa kumpongeza Kidoti na kumsihi aendelee kuwasaidia wasichana kwani hivi sasa kumekuwa na changamoto ya ajira kwani ajira imekuwa ni ngumu.

Surprising Facts to Feed Your Brain Today – Part 1

Gari la kubebea Majeneza la kipekee laingia nchini

$
0
0

IMG_0469

Pichani juu na chini ni muonekano wa Gari maalum la kukodisha kwa ajili ya shughuli za kubebea majeneza katika misiba limeingia nchini.

Kwa wanaohitaji kukodi kwa shughuli za misiba wanaweza kuwasiliana kupitia barua pepe kiwiaadavidson@hotmail.com au simu namba +255 715 213213, +255 713 616606 na +255 784616606 

IMG_0459

IMG_0481

Muonekano wa ndani sehemu maalum linapowekwa jeneza.

IMG_0477

Viewing all 5755 articles
Browse latest View live