Minister Of Health Opens Discussions On Maternal And Child Health In Tanzania
Mr. Amin Kurji, ADKN Resident Representative for Tanzania, giving remarks at the Canada-Tanzania Health Partnership. Seated on the panel from Left to Right is Dr. Donan Mmbando Chief Medical Officer...
View ArticleNaibu Waziri wa Fedha Adam Malima ahitimisha ziara ya kikazi Kanda ya Ziwa
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akiongea na wafanyabiashara wa jijini Mwanza katika ukumbi wa Benki Kuu alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza. Wa kwanza ushoto ni...
View ArticleBenki ya CRDB yatoa Milioni 100 kusaidia walioathirika na mafuriko mkoani...
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, (kushoto), alipofika kutoa msaada wa sh. milioni 100 wa benki hiyo kwa ajili ya...
View ArticleBarabara zaidi za kupunguza msongamano zinajengwa Dar
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (aliyenyoosha mikono) akitoa taarifa kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa ujenzi wa barabara za kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam wakati...
View ArticleAfrican TV yaombwa kuendeleza kuelimisha jamii umuhimu wa maadili kazini
Mhariri muandamizi wa Gazeti la Financia Report lenye Makamu Makuu yake London Nchini Uingereza Bwana Rohit Devan akimuarifu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi azma ya Gazeti hilo...
View ArticleTanzania lead at the Bamako International Marathon
Athletic Tanzania has nominated Mr. Samson Ramadhani Nyonyi and Mr. Oswald Revelian Kaharuzi to compete in Bamako Marathon in Mali with Mr. Leonard Thadeo -Director of Sports, Ministry of Information,...
View ArticleRais Kikwete afungua Baraza la Vyama vya Siasa
Rais Jakaya Mrisho kikwete akifungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Viongozi wa vyama...
View ArticleLife’s Demerit System
All married men will attest to some real wisdom in this blog …In the world of romance, one single rule applies: MAKE THE WOMAN HAPPY! Do something she likes, and you get points. Do something she...
View ArticleTaarifa ya Mkutano kwa Wana Weruweru
NOTICE IS HEREBY Given that a General Meeting of the foundation will be held at Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar es Salaam on Saturday, 8th February, 2014 at 10.00hrs. Mkutano wa Weruweru Alumnae...
View ArticleWorkshop On Developing Small-Holder Agriculture Through Technology Transfer
Dr. Philip I. Mpango, the Executive Secretary of the President’s Office, Planning Commission, one of the Organiser of the Workshop gives an opening remarking. Dr. Mpango elaborated the importance of...
View ArticleBaraza la Habari Tanzania lasisitiza ushirikiano kati ya Maafisa Habari na...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga(mbele aliyesimama) akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano kuhusu ushirikiano wa serikali na vyombo vya Habari katika kuimarisha...
View ArticleClimb Mt. Kilimanjaro Empower Girls Who Live In Poverty
Millions of girls in Tanzania are dis-empowered by the simple biological process of menstruation. Affordable and hygienic sanitary protection is not available to girls in many areas especially rural...
View ArticleWizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar yabadilishana majengo na Benki...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Rashid Salum Ali wa kwanza (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ wa kwanza (kulia) wakitia saini makubaliano ya...
View ArticleMaria: Mume wangu aliongopa mahakamani ndoa yetu ikavunja
Maria Tarafa (wa kwanza kushoto) akiwa na watoto wake wanne aliozaa na Ndebile Kazuri akiwa amekaa kwenye kifusi cha sehemu ya nyumba anayokaa, mumewe ameibomoa nyumba hiyo ili kumfukuza eneo hilo....
View ArticleNaibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Kairuki Azindua Kampeni Care For Me!
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za ‘Care For Me!’ katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo za...
View ArticleDc Makete awakutanisha Polisi na madereva wa Bodaboda
Na Edwin Moshi, Makete Kutokana na ukosefu wa elimu ya sheria barabarani miongoni mwa madereva bodaboda wilayani Makete mkoani Njombe kunakopelekea madereva hao kukamatwa na askari wa usalama...
View ArticleWanahabari za uchunguzi kukutana Dar
Na Mwandishi wetu WAANDISHI wa habari za uchunguzi hapa nchini wanatarajia kukutana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki katika mkutano wao wa dharura. Mwenyekiti wa Chama Cha Wanahabari za...
View ArticleMagari zaidi ya 3000 yakwama eneo la Hedaru baada ya Mvua kubwa kunyesha na...
Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia Greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita. Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la Hedaru. Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na...
View ArticleRais Kikwete akutana na Mjumbe wa EU, na Shirika la Global Volunteers la...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) kutoka kwa Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda...
View Article