Pichani juu na chini ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Shule ya Msingi ya kakuni katika kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele ambayo ujenzi wake unasimamiwa kwa karibu sana na yeye mwenyewe leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wakazi wa kijiji cha Kibaoni wilayani wilayani Mlelele, Katavi wa wakisafirisha mazao kwa kutumia wanayama kazi kijijini kwao.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bibi Marietha Mkata wa kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele wakati alipomtembelea Bibi huyo nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)