![photo (10)]()
Viongozi wakuu wa Wizara ya Uchukuzi na wakuu wa idara za taasisi zake zote wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya semina ya viongozi wa utumishi wa umma kufunguliwa leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar Es Salaam. Mafunzo haya yameandaliwa na secretariat ya Maadili ya viongozi wa Umma.