$ 0 0 MJUMBE WA HALMASHAURI kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa kulia akikabidi hundi kwa ajili ya shughuli za miradi ya maendeleo ya Temeke Women Organisation – TEWO SACCOS LTD, anayepokea ni Meneja wa mradi. UMOJA NI USHINDI …!!!!