Meneja wa Vodacom Tanzania-Tanga Bw. Mussa Sultan(kushoto)akimkabidhi Pikipiki Agnes Kilango ambaye ni mmoja wa washindi wa mkoa huo katika Promosheni ya Timka na Bodaboda,Inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Pikipiki wa Mkoa wa Singida katika Promosheni ya Timka na Bodaboda,Bw.Juma Abdallah,akiwa kwenye pikipiki yake mara baada ya kukabiodhiwa rasmi na Meneja wa Vodacom Tanzania-mkoani humo Bw.Ayubu Kalufya(hayupo pichani)kwa kuibuka mshindi pekee katika promosheni hiyo.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Meneja wa Vodacom Tanzania-Singida Bw. Ayubu Kalufya(kushoto)akimkabidhi Pikipiki Juma Ajali Abdallah ambaye ni mmoja wa washindi wa Mkoa wa Singida katika Promosheni ya Timka na Bodaboda,inayoendeshwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom ili kujiunga na promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.