Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Balozi Seif Idd aipongeza China kwa kuipatia Zanzibar madaktari bingwa wa fani tofauti katika mpango maalum.

$
0
0

239

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Madaktari Mabingwa wa China wanaotoa huduma za afya katika Hospitali mbali mbali za Zanzibar mara baada ya kula nao chakula cha usiku alichowaandalia ikiwa ni ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kumaliza muda wao wa miaka miwili visiwani Zanzibar.

214


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles