Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Januari 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Spika wa Bunge Anne Makinda akitoka Bungeni baada ya kulazimika kuahirisha kikao kabla ya muda wake.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 28, 2015. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu).