Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mama Tunu Pinda kwenye Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini

$
0
0

DSC03131

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akifuatilia matukio kwenye ukumbi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini.  Wa pili kulia ni Rais mstaafu wa Mali, Prof. Dioncounda Traore. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese na mkewe Bibi Filifilia Tamasese. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

DSC03127

Baadhi ya wajumbe kutoka Kenya, Tanzania na Lesotho ambao wanashiriki Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

DSC03138

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese (kulia) na mkewe Bibi Filifilia Tamasese  (Agosti 12, 2014). Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Universal Peace Federation (UPF), Bw. Tageldin Hamad ambao wameandaa mkutano huo.

DSC03141

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (katikati) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Universal Peace Federation (UPF), Bw. Tageldin Hamad (kushoto) ambao wameandaa mkutano huo. Kulia ni Dk. Amalberga Kasangala kutoka Tanzania ambaye pia anashiriki mkutano huo.

DSC03145

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na wajumbe wengine wanaoshiriki Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini. 

DSC03150

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  akiwa na wajumbe wengine kutoka Afrika Kusini, Japan na Marekani ambao wanashiriki Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini.(PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles