Baadhi ya wakazi wa Mivinjeni Kurasini wakiwa na mabango katikati ya Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam hivi sasa, zenye ujumbe wa malalamiko ya kudai kulipwa fidia zao ili kupisha mradi wa ujenzi wa bandari kavu kwenye eneo hilo.
HABARI KAMILI ITAKUJIA HAPO BAADAE KIDOGO..!
Baadhi ya magazri na mabasi yakigeuza yalikotoka.
Gari lililokuwa likielekea kwenye maonyesho ya Sabasaba likizuiwa na wakazi wa eneo hilo.
Mabasi yakizuiwa kupita.
Baadhi ya waanawake wa eneo hilo wakimzuia mwanamke mwenzao aliyemo kwenye gari kupita kwenye barabara hiyo.
PICHA ZAIDI ZA MABOMU YA MACHOZI NA TAARIFA KAMILI ZITAKUJIA HIVI PUNDE.