Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Rais Kikwete atembelea banda la TTCL maonesho ya kimataifa ya biashara

$
0
0

d12

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena  jana Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya juzi kutokamilika kutokana na muda.

d11

Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wakipiga picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete nje ya Banda la TTCL kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba jana Juai 6, 2014.

IMG_0227

Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa mawasiliano alipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba.

IMG_0217

Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni ya TTCL alipotembelea Banda la TTCL.

IMG_0226

Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa mawasiliano alipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba.

IMG_01391

IMG_0057

Baadhi ya wananchi walipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba.

IMG_0093

Baadhi ya wananchi walipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba.

IMG_0256

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles