Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mshindi wa Tuzo za Youth for Africa kuibuka na shilingi milioni 10 za Kitanzania.

$
0
0

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Better Dayz Ltd Daniel Sarungi (katikati) akizungumzia tuzo za Youth of Afrika zitakazotolewa tarehe 25 Mei mwaka huu ambapo mshindi atapata zawadi ya shilingi milioni 10 na kuhimiza vijana kujitokeza kushiriki ili kutoa changamoto katika maisha ya sasa yanayowakabili vijana.

Pichani Juu ni Baadhi ya waremo watakaoshiriki shindano la Tuzo hizo.Picha ya chini Katikati ni Mwalimu wao.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles