Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Jaji Warioba akutana na Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) na Baraza la Habari (MCT) jijini Dar

$
0
0

1.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba  kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina ya Tume hiyo na Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa  Karimjee Jijini Dar esa Salaam jana Alhamisi Januari 2, 2014. Anayeshuhudia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Bw. Kajubi Mukajanga.

2.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Bw. Kajubi Mukajanga  wakati wa mkutano baina ya Tume hiyo na Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa  Karimjee Jijini Dar esa Salaam jana Alhamisi Januari 2, 2014.

3.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ( wa pili kulia) akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini wakati wa mkutano baina yake ya Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Januari 2. 2014. Wengine Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Bw. Kajubi Mukajanga, Katibu  wa Tume, Assaa Rashid na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu Augstino Ramadhani.(PICHA NA TUME YA KATIBA)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles