Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Maendeleo ya Kilimo Barani Afrika.

$
0
0

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuzungumzia Mustakabali wa maendeleo ya Wakulima Barani Afrika  uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam leo.mkutano huo umeandaliwa na asasi ya(The southern African Confederation of Agriculktural Unions(SACAU).Wapili kushoto ni Kaimu Rais wa SACAU  Bwana Ishmael Sunga na Watatu kushoto ni Waziri wa Kilimo Christopher Chiza.

Baadhi ya wajumbe waliohudhuria Mkutano  utakaojadili Mustakabali wa Maendeleo ya Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam ambao umendaliwa na asasi ya SACAU(The Southern African Confederation of Agricultural Unions).

Baadhi ya wajumbe waliohudhuria Mkutano  utakaojadili Mustakabali wa Maendeleo ya Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam ambao umendaliwa na asasi ya SACAU(The Southern African Confederation of Agricultural Unions).(Picha na Freddy Maro).

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles