Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mahafali shule ya msingi Lassana, Mbagala Kuu yafana

$
0
0

photo 1

Mjumbe wa NEC Ndg. Magesa akitoa nasaha wakati wa mahafali ya Shule ya Msingi na chekechea ya Lassana, Mbagala Kuu, Jimbo la Kigamboni Wilaya ya Temeke leo, Mgeni rasmi aliwaasa wanafunzi wasome kwa bidii na Maarifa na wazazi washiriki kikamilifu katika malezi ya Watoto, pia aliwapongeza Walimu wote kazi nzuri.

photo 2

Watoto wa chekechea wakipokea vyeti.

photo 3

Kijana wa shule ya msingi aliyefanya vizuri akienda kuokea zawadi.

photo 4

Mgeni rasmi akitoa zawadi wa Laptop kwa Mkurugenzi wa Shule.

photo 5

Walimu wakifurahi zawadi ya keki.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles