Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Picha iliyobamba: Enzi Mbunge wa Iringa Mjini akiuza Mitumba

$
0
0

Mpendwa msomaji ni matumaini yetu unaendelea kuperuzi  mtandao wako wa kijamii wa Mo dewji blog, siku zote tupo kwa ajili ya kukuletea habari na matukio mbalimbali kwa njia tofauti ambayo yatakuelimisha, kukuburudisha na  kukujenga.

Leo katika picha ya siku ama iliyobamba, ni ya Mbunge wa Iringa, mjini, Mh.Mchungaji Peter Msigwa.

Kwa mujibu wa chanzo cha picha hiyo iliyowekwa na Msigwa mwenyewe, k upitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook na kuipa maelezo haya “Enzi hizo nauza mitumba (mantigo) Iringa MJINI kabla jengo la Tanesco halijajengwa……enzi hizo tuliita kumechisha.”

Mtandao huu umeona  si vibaya tukishare historia hii ambayo inaweza kuwapa ujasiri vijana na kutokata tamaa katika kutafuta mafanikio ya ndoto zao.

Mch Peter Msigwa akiwa anauza mitumba miaka hiyo


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles