CNN wakishirikiana na multichoice wafungua semina kwa waandishi wa habari juu ya nini kifanyike ili waandishi wa habari kutoka Tanzani waweze kufanya vizuri katika tuzo za mwandishi bora wa Africa tuzo ambazo mwaka huu zitafanyika Tanzania. Semina hiyo imefanyika jana katika hoteli ya New Africa Hoteli jijini Dar es Salaam
Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini, Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za “CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008″ akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imekuja ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika wa shughuli ya utoaji tuzo hizo za “CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2014″ itakayofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam Oktoba 18.