Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. Kulia ni Naibu Balozi wa Ujerumani nchini, Hans Koeppel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).