Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba waendelea na Vikao vya Majadiliano.

$
0
0

MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Mwatumu Malale (kushoto) akichangia hoja katika Kikao cha ndani cha Tume hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi Mei 16, 2013). Wengine ni Wajumbe wa Tume, Bw. Awadh Said (katikati) na Richard Lyimo.

MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Joseph Butiku (katikati) akichangia hoja katika Kikao cha ndani cha Tume hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi Mei 16, 2013). Wengine ni Wajumbe wa Tume, Alhaji Said El Maamry (kushoto) na Bw. Yahya Msulwa.(PICHA NA TUME YA KATIBA).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles