Meneja wa Fedha na Usalama wa Tigo Pesa Bw. Obedi Laiser na viongozi wa Millicom nchini Marekani.
Tigo leo yamkaribisha nyumbani Tanzania, Bwana Obedi Laiser, baada ya kushinda tuzo ya mfanyakazi wa kimataifa katika tukio la kifahari wiki iliyopita mjini Miami,USA iliyoandialiwa na Milicom,Kampuni ya mawasiliano na vyombo vya Habari kutiko Uswizi ,inayo imiliki Tigo/Kampuni ambayo inamiliki Tigo.
Bwana Laiser aliteuliwa na Mkurugenzi mkuu wa Tigo Bwana Diego Gutierrez kwa kazi yake na kuonyesha jitihadi ya kibinafsi na kama timu,kupitia mchango wako kwa kampuni ya Tigo miaka ya nyuma.Bwana Laiser alikuwa miongoni mwa washindani 21 waliochaguliwa kutoka katika wafanyikazi wa Millicom takriban watu 11,000 katika inchi kumi na tano ndani ya Africa na Amerika ya Kusini.
Gutierrez alisema, “Tunajifariji kwa ushindi huu wa bwana Laiser. Anastahili hii tuzo,kwani kazi yake niyakipekee katika mwaka uliopita. Hii, pamoja namtazamo chanya, umekuwa mfano mzurikwa wenzetuwote kutokaTigo. Pia niheshimakwa nchi nzima kutambuliwa kama hivikutokaMillicom, ambae ni kiongozi wa ulimwengu katikakutoamaisha ya kidigitali.
Bwana Laiser aliongeza “ Nina fahari kwa kushinda tuzo hii.Ilikuwa juhudi kutoka kwa timu nzima,zaidi ya mwaka uliopitana nimeikubali zawadi hii kwa niaba ya timu yangu,kila mtu kutoka Tigo nabila shakaTanzania nzima. “