Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Wadau Imekaeje hii.

$
0
0
4

Kijana wa Chadema akishiriki shughuli za CCM Ludewa.

CCM Oyee! Kijana wa Chadema nae akanyoosha mikono.
Kijana wa Chadeema akiwa karibu kabisa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Ndugu Deo Sanga maarufu kama Jah People mtu wa watu mpenda watu.    

Picha na Adam H. Mzee


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles